Kemikali aina ya ''steroid'' ambazo zimekuwa zikitumiwa kwa wingi au kuchanganywa kwenye vipodozi ni pamoja na Betamethasone na Dexamethasone.
Aina hizi za steroid zilikusudiwa kutumiwa kutibu aina fulani za mzio (allergy) ya ngozi na hutumika kwa muda mfupi. Moja kati ya madhara yake ya pembeni (side effects) ni kuifanya ngozi iwe laini na nyeupe kwa kuondoa melanini. Melanini ni rangi ya ngozi ambayo hutukinga na mionzi ya jua ili tusipate kansa ya ngozi. Watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) mara nyingi hupata kansa ya ngozi kwa kuwa miili yao haina uwezo wa kutengeneza melanini. Kadri jua linavyokua kali melanini huongezeka na weusi wa ngozi huongezeka pia hivyo kuongeza kinga dhidi ya mionzi ya jua na kansa ya ngozi. Rangi nyeusi ya ngozi ni kitu cha thamani sana na cha kujivunia ambacho Mwenyezi Mungu ametupa, hivyo si sahihi hata kidogo kuiondoa.
Kimantiki, kutumia steroid ili uwe mweupe zaidi, ni kutumia madhara ya dawa (side effect) kujipendezesha!
Kemikali nyingine ambazo hutumika kujipodoa ni pamoja na Hyrodquinone na Mercury,
Kama unatumia vipodozi au kama kipodozi chako kina kemikali zilizotajwa hapa chini mwone daktari au mtaalamu wa ngozi (dermatologist) akueleze nini cha kufanya.
VIPODOZI VIFUATAVYO VIMEPIGWA MARUFUKU!!
SkinLightening creams containing Hydroquinone
1.
|
Mekako Cream
|
2.
|
Rico Complexion Cream
|
3.
|
Princess Cream
|
4.
|
Butone Cream
|
5.
|
Extra Clear Cream
|
6.
|
Mic Cream
|
7.
|
Viva Super Lemon Cream
|
8.
|
Ultra Skin Tone Cream
|
9.
|
Fade - Out Cream
|
10.
|
Palmer`s Skin Success (pack)
|
11.
|
Fair & white Active Lightening Cream
|
12.
|
Fair & White Whitening Cream
|
13.
|
Fair & White Strong Bleaching Treatment Cream
|
14.
|
Fair & white Body Clearing milk
|
15.
|
Maxi – Tone fade Cream
|
16.
|
Nadinola Fade Cream
|
17.
|
Clear Essence Medicated fade Cream
|
18.
|
Peau Claire Body Lotion
|
19.
|
Reine Clair Rico Super Body Lotion
|
20.
|
Immediat Claire Maxi – Beuty lotion
|
21.
|
Tura Lotion
|
22.
|
Ikb Medicated Cream
|
23.
|
Crusader Skin Toning Cream
|
24.
|
Tura Bright & Even Cream
|
25.
|
Claire Cream
|
26.
|
Miki Beauty Cream
|
27.
|
Peau Claire Crème Eclaircissante
|
28.
|
Sivoclair lightening Body Lotion
|
29.
|
Extra Clair lightening Body Lotion
|
30.
|
Precieux Treatment Beauty Lotion
|
31.
|
Clear Essence Skin Beautifying Milk
|
32.
|
Tura Skin Toning Cream
|
33.
|
Madonna Medicated Beauty Cream
|
34.
|
Mrembo Medicated Beauty Cream
|
35.
|
Shirley Cream
|
36.
|
Kiss – Medicated Beauty Cream
|
37.
|
UNO21 Cream
|
38.
|
Princess Patra Luxury Complexion Cream
|
39.
|
Envi Skin Toner
|
40.
|
Zarina Medicated Skin Lightener
|
41.
|
Ambi Special Complexion
|
42.
|
Lolane Cream
|
43.
|
Glotone Complexion Cream
|
44.
|
Nindola Cream
|
45.
|
Tonight Night Beauty Cream
|
46.
|
Fulani Cream Eclaircissante
|
47.
|
Clere Lemon Cream
|
48.
|
Clere Extra Cream
|
49.
|
Binti Jambo Cream
|
50.
|
Malaika Medicated Beauty Cream
|
51.
|
Dear Heart with Hydroquinone Cream
|
52.
|
Nish Medicated Cream
|
53.
|
Island Beauty Skin Fade Cream
|
54.
|
Malibu Medicated Cream
|
55.
|
Care plus Fairness Cream
|
56.
|
Topiclear Cream
|
57.
|
Carekako Medicated Cream
|
58.
|
Body Clear Cream
|
59.
|
A3 Skin Lightening Cream
|
60.
|
Ambi American Formula
|
61.
|
Dream Successful
|
62.
|
Symba crème Skin Lite ‘N’ Smooth
|
63.
|
Cleartone Skin Toning Cream
|
64.
|
Ambi Extra Complexion Cream for men
|
65.
|
Cleartone Extra Skin Toning Cream
|
66.
|
O`Nyi Skin Crème
|
67.
|
A3 Tripple action Cream Pearl Light
|
68.
|
Elegance Skin Lightening Cream
|
69.
|
Mr. Clere Cream
|
70.
|
Clear Touch Cream
|
71.
|
Crusader Ultra Brand Cream
|
72.
|
Ultime Skin Lightening Cream
|
73.
|
Rico Skin Tone Cream
|
74.
|
Baraka Skin Lightening Cream
|
75.
|
Fairlady Skin Lightening Cream
|
76.
|
Immediat Claire Lightening Body Cream
|
77.
|
Skin Lightening Lotions Containing Hydroquinone
|
78.
|
Jaribu Skin Lightening Lotion
|
79.
|
Amira Skin Lightening lotion
|
80.
|
A3 Cleartouch Complexion Lotion
|
81.
|
A3 Lemon Skin Lightening Lotion
|
82.
|
Kiss Lotion
|
83.
|
Princess Lotion
|
84.
|
Clear Touch Lotion
|
85.
|
Super Max – Tone Lotion
|
86
|
No Mark Cream
|
Skin Lightening Gels Containing Hydroquinone
1.
|
Body Clear
|
2.
|
Topi Clear
|
3.
|
Ultra Clear
|
Skin Lightening Body Oils Containing Hydroquinone
1.Peau Claire Lightening Body Oil
Soaps Containing Hydroquinone
1.
|
Body Clear Medicated Antiseptic Soap
|
2.
|
Blackstar
|
3.
|
Cherie Claire Body Beauty Lightening & Treating Soap
|
4.
|
Immediate Clair Lightening Beauty Soap
|
5.
|
Lady Claire
|
6.
|
M.G.C Extra Clear
|
7.
|
Topi Clear Beauty Complexion Soap
|
8.
|
Ultra Clear
|
Soaps containing Mercury and its compounds
1.
|
Movate Soap
|
2.
|
Miki Soap
|
3.
|
Jaribu Soap
|
4.
|
Binti Jambo Soap
|
5.
|
Amira Soap
|
6.
|
Mekako Soap
|
7.
|
Rico Soap
|
8.
|
Tura Soap
|
9.
|
Acura Soap
|
10.
|
Fair Lady
|
11.
|
Elegance
|
Skin Lightening Creams containing Mercury and its Compounds
1.
|
Pimplex Medicated Cream
|
2.
|
New Shirley Medicated Cream
|
Cream preparations containing steroids
1.
|
Amira Cream
|
2.
|
Jaribu Cream
|
3.
|
Fair & Lovely Super Cream
|
4.
|
Neu Clear Cream Plus (spot Remover)
|
5.
|
Age renewal Cream
|
6.
|
Visible Difference Cream (Neu Clear – Spots Remover)
|
7.
|
Body Clear Cream
|
8.
|
Sivo Clair Fade Cream
|
9.
|
Skin Balance Lemon Cream
|
10.
|
Peau Claire Cream
|
11.
|
Skin Success Cream
|
12.
|
M & C DynamiClair Cream
|
13.
|
Skin Success Fade Cream
|
14.
|
Fairly White Cream
|
15.
|
Clear Essence Cream
|
16.
|
Miss Caroline Cream
|
17.
|
Lemonvate Cream
|
18.
|
Movate Cream
|
19.
|
Soft & Beautiful Cream
|
20.
|
Mediven Cream
|
21.
|
Body treat Cream (spot remover)
|
22.
|
Dark & Lovely Cream
|
23.
|
SivoClair Cream
|
24.
|
Musk – Clear Cream
|
25.
|
Fair & Beautiful Cream
|
26.
|
Beautiful Beginning Cream
|
27.
|
Diproson Cream
|
28.
|
Dermovate Cream
|
29.
|
Top Lemon Plus
|
30.
|
Lemon Cream
|
31.
|
Beta Lemon Cream
|
32.
|
Tenovate
|
33.
|
Unic Clear Super Cream
|
34.
|
Topiflam Cream
|
35.
|
First Class Lady Cream
|
Gel preparations containing steroids
1. Fashion Fair Gel Plus
2. Hot Movate Gel
3. Hyprogel
4. Mova Gel Plus
5. Secret Gel Cream
6. Peau Claire Gel Plus
7. Hot Proson Gel
8. Skin Success gel Plus
9. Skin Clear Gel Plus
10. Soft & Beautiful Gel
11. Skin Fade Gel Plus
12. Ultra – Gel Plus
13. Zarina Plus Top Gel
14. Action Dermovate Gel Plus
15. Prosone Gel
16. Skin Balance Gel Wrinkle Remover
17. TCB Gel plus
18. Demo – Gel Plus
19. Regge Lemon Gel
20. Ultimate Lady Gel
21. Topifram Gel Plus
22. Clair & Lovely Gel
1. Bithionol
2.Hexachlorophene
3. Mercury compounds
4. Vinyl chloride
5. Zirconium – containing complexes in aerosol products
6. Halogenated salicylanilides (di-, tri- metabromsalan and tetrachlorosalicynilide)
7. Chloroquinone and its derivatives
8. Steroids in any proportions
9. Chloroform
10. Chlofluorocarbon propellants (fully halogenated chlorofluoroalkanes) in cosmetic aerosol products
11. Methyelene chloride
Nice one Elia!! Keep such coming... And i have heard of Xylum Chlorohydrate too, is it bad? It's mostly used in Deodorants...
ReplyDeletei was frustrated last time when i was shopping for deodorant as they all seem to have it!!
What to do??!!
I am not aware of ‘Xylum Chlorohydrate’.. I will find about it..,
ReplyDeleteI am aware of Aluminium Chlorohydrate which is used in most of antiperspirant/ deodorant and it is claimed to cause cancer!
Most of the antiperspirant or deodorant works by physically block the sweat glands, thus preventing sweating to come out. The bad odor after sweating is the result of bacteria action on the sweat and on the wet skin when one is sweating.
I prefer to use perfumes, because unlike antiperspirant or deodorants which are applied direct on the skin, perfumes are applied on clothes.
Some people get skin allergies when applying deodorants especially when applied under the armpit, soon after shaving. Prolonged use of some deodorants darkens the armpit skin! Use of antibacterial soaps, perfumed shower gel also reduces the bad odor.
It is unfortunate that most of us when buying cosmetics we don’t bother to read the ingredients, or ask for advice before using. We are attracted with the brand names and the country of manufacture.
What to do…
- To change attitude and develop habit to check the ingredients or and ask cosmetologist or skin specialist before using new cosmetics
- TFDA/ health professionals/ cosmetologist to sensitize the public to stop use of banned cosmetics.
hiyo comment yako ume copy na ku paste aibu kubwa mr pharmacist! mwenyewe unajiona una bonge la kazi ungekuwa dakitari jee?
ReplyDeleteni kweli nimecopy na kupaste, kutoka hapa:
DeleteSource: http://www.tfda.or.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=25:vipodozi-vyeme-viambata-vyenye-sumu&catid=2&Itemid=230&showall=1&limitstart= na sioni ubaya kama mtaalamu ya dawa kujulisha jamii kwa kuwa si wote wanaufahamu kuhusu vipodozi vilivyopigwa marufuku na madhara yake! Daktari na mfamasia kwa pamoja hushirikiana kikamilifu kumsaidia mgonjwa kupata tiba sahihi, na kutoea elimu kuhusu matumizi sahihi ya dawa, kutoa tahadhari na kuelimisha jamii kuhusu madhara mbalimbali ya dawa. Hivyo sina cha kujisifu au kujiona bora kuliko mwingine kwa kuwa ni taaluma yangu na wote kwa pamoja tunafanya kazi ya kumsaidia mgonjwa na jamii kwa ujumla!
Go go go Elia , and don let people discourage you, this is how every successful doctor started! get going........
DeleteNaomba kuuliza skderm cream ni nzuri kwa afya ya ngozi
DeleteNaomba kuuliza mediven cream inayotolews pharmas kama ina madhara kutumia kama cream ya uso kwa matumizi ya kila siku
ReplyDeleteMediven imetajwa na TFDA kama moja ya kipodozi kilichopigwa marufuku (angalia item #20 Cream preparations containing steroids) hivyo si vyema kuitumia au kujipaka USONI. Mediven ni cream zenye STEROID na inaweza kukuletea madhara kama nilivyoainisha hapo juu. Kwa ujumla si vyema kujipaka dawa yoyote usoni bila kushauriwa na daktari au mtaalamu wa ngozi.
DeleteTafadhariiii naomba ushauri na viipi kuhusu ss tunaotumia ct+ clear therapy
Deletekeep it up brother, i like this... you are a pharmacist nt a dr,. people should know this! goood
ReplyDeletehttp://www.mwananchi.co.tz/Dawa-za-nywele-zinazosababisha-uvimbe-/-/1596774/2347454/-/svsi53z/-/index.html
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteThanks for the advise,pliiz help someone here,she was advised to use miss Caroline cream to clear her blackspots and pimples but instead her face became whiter. Advise pliiz.
ReplyDeleteHi Casty,
DeleteThat someone has to go back to the prescriber to provide the feedback.
If the prescriber is not a medical personnel, the someone has to seek medical advise from a skin specialist (dermatologist)
Vp kuhusu clairmen?? Je ina madhara gani?
ReplyDeleteClarimen ni skin Lightening cream/ lotion.
ReplyDeleteLightening creams/ lotion au cream yoyote yenye steroids inafanya kazi ya kuondoa au kupunguza rangi ya weusi wa ngozi (melanin pigment)
Melanin pigment ina kazi ya kuzuia ngozi zetu zisipate kansa ya ngozi kutokana na miale ya jua (Miale ya jua, huweza kusababisha kansa ya ngozi)
Hivyo ukitumia lightening cream yoyote, unajiweka kwenye hatari ya kupata kansa ya ngozi kama sio leo basi miaka kadhaa ijayo.
Pia ukitumia Lightening cream, ukipita juani utasikia ngozi kama inachoma choma au ina taka kufa ganzi hivi,
Nadhani Mungu anatupenda kwa kutupa uwezo wa kutengeneza melanin nyingi tunapokuwa juani, hivyo si sawa kuiondoa hiyo rangi au kuipunguza.
i read a lot of stuff and i found that the way of writing to clearifing that exactly want to say was very good so i am impressed and ilike to come again in future..
ReplyDeleteElia & Ponto
I once used miss Caroline to remove pimples but my skin ended up being light with a lot of pimples and blackspot
ReplyDeleteMiss Caroline no poa kutumia ama at a iyo no mbayaa
ReplyDeleteThank you for the good knowledge
ReplyDeleteThank Mr. Elia for reminding the community on the effects of cosmetics containing steroid , hydroquinone, mercury and other chemicals which are harmfully to our health.
ReplyDeleteRegard
How about Arabian queen lotion?
ReplyDeletevip kuhusu Top lemon ina madhara?
ReplyDeleteYea
DeleteVIP kuhusu Arabian queen body lo
ReplyDeleteVip kuhusu epiderm mkuu ina madhara
ReplyDeleteYeahh
DeleteVip kuhusu cocopulp ni Nzur kupaka?
ReplyDeleteje ct inamadhara naomba niambie ndo nataka niaze kujipaka
ReplyDeleteWhite secret na Even sheen coco butter inamadhara gani kwenye ngozi
ReplyDeleteVipi kuhusu lemonvate ni nzr
ReplyDeleteDawa nyingi Zina kemikali zenye madhara, unaweza ukawa mweupe af badae ukapata matangotango au ngozi yenye rangi zaidi ya moja. Dawa ya uhakika wacheki Hawa Cream ya kuwa mweupe
ReplyDeleteEt losheni ya turmeric oil ninzuli
ReplyDeleteKuna mafuta yanaitwa Bronz Tone vipi kuhusu hayo??
ReplyDeleteMiki clair hinafaa kwamatumizi
ReplyDeleteGreat and I have a swell present: Who Does House Renovation average home renovation cost
ReplyDeleteNaomb kujua madhar extra clair lemon cream
ReplyDeletevipi kuhusu forever young inamadhara??
ReplyDeleteforever young ina madhara??
ReplyDeleteVp kuusu eclair inamadhala
ReplyDelete