Sunday, August 25, 2013

TAHADHARI! JE UNATUMIA VIPODOZI HIVI?

Urembo ni jambo zuri, lakini usipokuwa makini kuchagua vipodozi vizuri, unaweza kupata madhara ambayo mwisho wake ni majuto! Matumizi ya vipodozi vyenye aina ya ''steroid'' ili kufanya ngozi ya uso ionekane nyeupe, nyororo, angavu na laini yanaongezeka kila siku. Ni rahisi kumtambua mtu anaetumia vipodozi vyenye steroid kwa kuwa mara nyingi rangi ya ngozi yake ya usoni hutofautiana na ya sehemu nyingine ya mwili kwa kuwa nyeupe zaidi.
Kemikali aina ya ''steroid'' ambazo zimekuwa zikitumiwa kwa wingi au kuchanganywa kwenye vipodozi ni pamoja na Betamethasone na Dexamethasone.
Aina hizi za steroid zilikusudiwa kutumiwa kutibu aina fulani za mzio (allergy) ya ngozi na hutumika kwa muda mfupi. Moja kati ya madhara yake ya pembeni (side effects) ni kuifanya ngozi iwe laini na nyeupe kwa kuondoa melanini. Melanini ni rangi ya ngozi ambayo hutukinga na mionzi ya jua ili tusipate kansa ya ngozi. Watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) mara nyingi hupata kansa ya ngozi kwa kuwa miili yao haina uwezo wa kutengeneza melanini. Kadri jua linavyokua  kali melanini huongezeka na weusi wa ngozi huongezeka pia hivyo kuongeza kinga dhidi ya mionzi ya jua na kansa ya ngozi. Rangi nyeusi ya ngozi ni kitu cha thamani sana na cha kujivunia ambacho Mwenyezi Mungu ametupa,  hivyo si sahihi hata kidogo kuiondoa.
Kimantiki, kutumia steroid ili uwe mweupe zaidi, ni kutumia madhara ya dawa (side effect) kujipendezesha!
Kemikali nyingine ambazo hutumika kujipodoa ni pamoja na Hyrodquinone na Mercury,
Kama unatumia vipodozi au kama kipodozi chako kina kemikali zilizotajwa hapa chini mwone daktari au mtaalamu wa ngozi (dermatologist) akueleze nini cha kufanya.
 
VIPODOZI VIFUATAVYO VIMEPIGWA MARUFUKU!!
SkinLightening creams containing Hydroquinone
1.
Mekako Cream
2.
Rico Complexion Cream
3.
Princess Cream
4.
Butone Cream
5.
Extra Clear Cream
6.
Mic Cream
7.
Viva Super Lemon Cream
8.
Ultra Skin Tone Cream
9.
Fade - Out Cream
10.
Palmer`s Skin Success (pack)
11.
Fair & white Active Lightening Cream
12.
Fair & White Whitening Cream
13.
Fair & White Strong Bleaching Treatment Cream
14.
Fair & white Body Clearing milk
15.
Maxi – Tone fade Cream
16.
Nadinola Fade Cream
17.
Clear Essence Medicated fade Cream
18.
Peau Claire Body Lotion
19.
Reine Clair Rico Super Body Lotion
20.
Immediat Claire Maxi – Beuty lotion
21.
Tura Lotion
22.
Ikb Medicated Cream
23.
Crusader Skin Toning Cream
24.
Tura Bright & Even Cream
25.
Claire Cream
26.
Miki Beauty Cream
27.
Peau Claire Crème Eclaircissante
28.
Sivoclair lightening Body Lotion
29.
Extra Clair lightening Body Lotion
30.
Precieux Treatment Beauty Lotion
31.
Clear Essence Skin Beautifying Milk
32.
Tura Skin Toning Cream
33.
Madonna Medicated Beauty Cream
34.
Mrembo Medicated Beauty Cream
35.
Shirley Cream
36.
Kiss – Medicated Beauty Cream
37.
UNO21 Cream
38.
Princess Patra Luxury Complexion Cream
39.
Envi Skin Toner
40.
Zarina Medicated Skin Lightener
41.
Ambi Special Complexion
42.
Lolane Cream
43.
Glotone Complexion Cream
44.
Nindola Cream
45.
Tonight Night Beauty Cream
46.
Fulani Cream Eclaircissante
47.
Clere Lemon Cream
48.
Clere Extra Cream
49.
Binti Jambo Cream
50.
Malaika Medicated Beauty Cream
51.
Dear Heart with Hydroquinone Cream
52.
Nish Medicated Cream
53.
Island Beauty Skin Fade Cream
54.
Malibu Medicated Cream
55.
Care plus Fairness Cream
56.
Topiclear Cream
57.
Carekako Medicated Cream
58.
Body Clear Cream
59.
A3 Skin Lightening Cream
60.
Ambi American Formula
61.
Dream Successful
62.
Symba crème Skin Lite ‘N’ Smooth
63.
Cleartone Skin Toning Cream
64.
Ambi Extra Complexion Cream for men
65.
Cleartone Extra Skin Toning Cream
66.
O`Nyi Skin Crème
67.
A3 Tripple action Cream Pearl Light
68.
Elegance Skin Lightening Cream
69.
Mr. Clere Cream
70.
Clear Touch Cream
71.
Crusader Ultra Brand Cream
72.
Ultime Skin Lightening Cream
73.
Rico Skin Tone Cream
74.
Baraka Skin Lightening Cream
75.
Fairlady Skin Lightening Cream
76.
Immediat Claire Lightening Body Cream
77.
Skin Lightening Lotions Containing Hydroquinone
78.
Jaribu Skin Lightening Lotion
79.
Amira Skin Lightening lotion
80.
A3 Cleartouch Complexion Lotion
81.
A3 Lemon Skin Lightening Lotion
82.
Kiss Lotion
83.
Princess Lotion
84.
Clear Touch Lotion
85.
Super Max – Tone Lotion
86
No Mark Cream
 
Skin Lightening Gels Containing Hydroquinone
1.
Body Clear
2.
Topi Clear
3.
Ultra Clear
 
Skin Lightening Body Oils Containing Hydroquinone
1.Peau Claire Lightening Body Oil
Soaps Containing Hydroquinone
1.
Body Clear Medicated Antiseptic Soap
2.
Blackstar
3.
Cherie Claire Body Beauty Lightening & Treating Soap
4.
Immediate Clair Lightening Beauty Soap
5.
Lady Claire
6.
M.G.C Extra Clear
7.
Topi Clear Beauty Complexion Soap
8.
Ultra Clear
 
Soaps containing Mercury and its compounds
1.
Movate Soap
2.
Miki Soap
3.
Jaribu Soap
4.
Binti Jambo Soap
5.
Amira Soap
6.
Mekako Soap
7.
Rico Soap
8.
Tura Soap
9.
Acura Soap
10.
Fair Lady
11.
Elegance


Skin Lightening Creams containing Mercury and its Compounds
1.
Pimplex Medicated Cream
2.
New Shirley Medicated Cream

 
Cream preparations containing steroids
1.
Amira Cream
2.
Jaribu Cream
3.
Fair & Lovely Super Cream
4.
Neu Clear Cream Plus (spot Remover)
5.
Age renewal Cream
6.
Visible Difference Cream (Neu Clear – Spots Remover)
7.
Body Clear Cream
8.
Sivo Clair Fade Cream
9.
Skin Balance Lemon Cream
10.
Peau Claire Cream
11.
Skin Success Cream
12.
M & C DynamiClair Cream
13.
Skin Success Fade Cream
14.
Fairly White Cream
15.
Clear Essence Cream
16.
Miss Caroline Cream
17.
Lemonvate Cream
18.
Movate Cream
19.
Soft & Beautiful Cream
20.
Mediven Cream
21.
Body treat Cream (spot remover)
22.
Dark & Lovely Cream
23.
SivoClair Cream
24.
Musk – Clear Cream
25.
Fair & Beautiful Cream
26.
Beautiful Beginning Cream
27.
Diproson Cream
28.
Dermovate Cream
29.
Top Lemon Plus
30.
Lemon Cream
31.
Beta Lemon Cream
32.
Tenovate
33.
Unic Clear Super Cream
34.
Topiflam Cream
35.
First Class Lady Cream

 
Gel preparations containing steroids
1. Fashion Fair Gel Plus
2. Hot Movate Gel
3. Hyprogel
4. Mova Gel Plus
5. Secret Gel Cream
6. Peau Claire Gel Plus
7. Hot Proson Gel
8. Skin Success gel Plus
9. Skin Clear Gel Plus
10. Soft & Beautiful Gel
11. Skin Fade Gel Plus
12. Ultra – Gel Plus
13. Zarina Plus Top Gel
14. Action Dermovate Gel Plus
15. Prosone Gel
16. Skin Balance Gel Wrinkle Remover
17. TCB Gel plus
18. Demo – Gel Plus
19. Regge Lemon Gel
20. Ultimate Lady Gel
21. Topifram Gel Plus
22. Clair & Lovely Gel
 
Viambata vifuatavyo havitakiwi kuwepo kwenye bidhaa za vipodozi,
1. Bithionol
2.Hexachlorophene
3. Mercury compounds
4. Vinyl chloride
5. Zirconium – containing complexes in aerosol products
6. Halogenated salicylanilides (di-, tri- metabromsalan and tetrachlorosalicynilide)
7. Chloroquinone and its derivatives
8. Steroids in any proportions
9. Chloroform
10. Chlofluorocarbon propellants (fully halogenated chlorofluoroalkanes) in cosmetic aerosol products
11. Methyelene chloride

 
 
 

Pages